December
11 2016 kumekuwa na taarifa zilizosambaa kwenye mitandao ya kijamii
kwamba kamati kuu ya Chama cha mapinduzi (CCM) imefanya uteuzi wa
wajumbe wa Sekretarieti akiwemo Steven Wassira kuwa Msemaji wa chama.
Taarifa
hizo zilisema pia kwamba Makongoro Nyerere ameteuliwa kuwa Naibu Katibu
Mkuu wa CCM Bara huku Peter Maduki akipewa nafasi ya muweka hazina.
Ukweli ni kwamba CCM haijafanya uteuzi huo, wamekanusha muda mfupi uliopita kwa kusema ‘Taarifa
inayosambazwa kwenye mitandao kuhusu uteuzi wa wajumbe wa Sekretarieti
sio sahihi, kamati Kuu haijafanya uteuzi wa mjumbe yeyote‘
Download Video and Put Comment
Toa Maoni Hapa Chini
0 comments:
POST A COMMENT