HAYA: THE MOST INTELLIGENT PEOPLE IN AFRICA (EASTWARD) FOLLOWED BY KIKUYU IN KENYA
*Nimepata sehemu TAFITI (RESEARCH) inayoonesha yafuatayo:*
*SHULENI*
1.Kila darasa ambalo kuna mchanganyiko wa *WAHAYA* top three mmoja lazima awe Muhaya, we we utakaye changia hapa utakuwa shahidi hata kama huwapendi watani zangu .
*FACTS*
.Best student UDSM 2005 - Benson Kagashe
. Best student 2009 Mr Denice Byarushengo
. Best student UDSM 2014. Mr William Pascal
. Best student COET-UDSM 2015 Mr Almachius Kahwa.
Mifano midogo tu, katika miaka 20 iliyopita Chuo Kikuu kikubwa UDSM kimepata Best student kabila la *WAHAYA 12 ,***
International Organization
1. Texas Power Chief Operations - Wellington Kamala
2. IMF africa representative - Delphine Rwegasira
3. Rweyemamu prize , a prize established by Harvard University for higher scorers, this was due to high performance of Justinian Rweyemamu. Father of Tanzania economics who influenced Jakaya Kikwete and Lipumba to be economic scholars
4. James Kateka from Bukoba, general chairman of Lawyers in the World, Scholar Harvard University,
5. James Rugemalila General Manager of VIP Engineering, Academician,
6. Florian Rugambwa the first Bishop and Cardinal in Africa
7. Fr. Fidon Mwombeki chairman of UEM ( kiongozi wa kanisa la Lutheran dunian)
8. Babyegeya Mutegeki , member of Board of Nuclear , USA
9. *SIR GEORGE KAHAMA*, the only sir in africa , alitoa ushauri positive kwa Malikia akampa u SIR.
*NDANI YA NCHI KILA TAASISI YA SERIKALI NA BINAFSI ,*
*maprofessa na wahadhiri wa vyuo vikuu:*
Wahaya kadhaa wamefundisha vyuo vikuu mahiri duniani
mfano:
A. Harvard University- Justinian Rweyemama 1970's
B. Mwesiga Baregu , kabla hajarudi Tanzania alikuwa Harvard University,
C. Fransis Kateka Oxford
D. Prof Kaijage , University of Birmingham
E. Mark Rweyemamu director of GALV
Pia *General Education Forum* imeeleza idadi ya maprofessa w tanzania kuwahi kutokea ni 386 mpaka mwaka 2013
maprofesa 172 walitambulika kutoka Kagera,Bukoba direct , achilia mbali ambao hawakutumia majina yao mengine, na kati ya hao 172 , maprofesa 150 walitokea Tarafa ya Kiziba,
Kwa hiyo sehemu nyingine za Tanzania zikawa na hao waliobaki
kabla ya kuja kwa wakoloni mkoa KAGERA ulikuwa na shughuli zake za bunge zilizoendeshwa katika wilaya ya Bukoba Mjini, halikuitwa bunge direct ila ilikuwa ni vikao vya WAKAMA kila mwezi vinaendeshwa sehemu inahitwa ACHEMBA RWAMISHENYE, watu wa kule wanapajua, vikao vimeendelea mpaka mwaka 1963 NYERERE akaona vitachanganya wananchi akafuta, lakini wakoloni walishangaa kuona shughuli za Bajeti, Sheria na uchaguzi wa viongozi vikifanywa kama wakivyokuwa wanafanya ulaya, hii wamesema wameiona kwa Wahaya na wa Kikuyu, ambapo machief watarafa saba wanakutana kufanya kamati mbali mbali.
*TAASISI ZA SASA*
-Katika taasisi 10 manager 4 ni wahaya:
TPB- Leticy Rutashobya Mkurugenzi mkuu
TPA - Mwanasheria Mkuu mr Rugazia
TFF- Dionize Malinzi
TIC- Madam Kairuki( katumbuliwa juzi)
NIC - Israel Kamuzora
UDSM- Prof Mukandara
CRD- Consolatha Ngimbwa General Manager
NBC : Pius Tibazarwa MD
TTCL: Kamugisha Kazaula
UHAMIAJI: MR Mikinga
Mashirika yapo mengi hawa watu wanachomekana au wanasifa husika?
Najua uko kuna wengine mnawajua wawekeni hapa tudhihirishe kama aliyeandika kitabu cha *HAYA THE MOST INTELLIGENT PEOPLE IN AFRICA FOLLOWED BY KIKUYU IN KENYA*
Wanaoelewa zaidi mwaka 1965 Mwalimu NYERERE akaamua kupandisha passmark makusudi kuwa ili uchaguliwe kwenda Secondary ilibidi uwe umepata alama 120 kati ya 150 , isiwe chini ya hapo maana shule zilikuwa zikijaa wahaya, hii nimeipata kwenye library hapa kwetu Mara ,
Wakati watu wengine kama *DODOMA* mwenye Marks 65 kati ya 150, anaenda bila shida, akikumbana na yule mwenye 120 yaan karibia mara mbili yake ilikuwa inakuwa hatari sana , kila wakati utasikia mwanafunzi wa kwanza:
-Ndyamukama
-Tibalemwa
- Rutashobya
- Rutatinisibwa
- Rugaimukamu
- Buberwa
0 comments:
POST A COMMENT