Ajali iliyoua watu 32 kwa mkupuo nchini Tanzania wakiwemo Wanafunzi 29 wa shule ya St. Lucky Vicent na watu wazima watatu wakiwemo Waalimu na Dereva, ni habari kubwa sio tu Tanzania bali hata kimataifa.
Katika kuhakikisha taarifa zinasambaa duniani kote mitandao mingi ya kimataifa imerusha habari hii wakiziandikia headlines mbalimbali lakini iliyoonesha kusikitishwa na tukio hilo.
The New York Times

NBC NEWS

ABC News

The Telegraph

Africanews

DAILY NATION

FOX NEWS World

The Daily Telegraph

YAHOO NEWS

EXPRESS

Download Video and Put Comment
Toa Maoni Hapa Chini
0 comments:
POST A COMMENT