Wafanyakazi 114 wa Hospitali ya Taifa ya Muhimbili wabainika kuwa na
vyeti feki na kutakiwa kufuata agizo la Rais Magufuli kuachia nafasi
hizo kwani hawana sifa tena za kuendelea kuwa watumishi wa Umma
Katika taarifa aliyotolewa jana na Mkurugenzi Mtendaji Prof. Lawrence
Museru imesema kuwa kwa mfanyakazi yoyote ambaye hajaridhika na uamuzi
huo kuhusiana uhalali wa vyeti vyao wakate rufaa kwa Katibu, Ofisi ya
Rais, Menejimenti ya Utumishi ya Umma na Utawala bora kabla au ifikapo
tarehe 15 Mei, 2017.
Download Video and Put Comment
Toa Maoni Hapa Chini
0 comments:
POST A COMMENT