Mwenyekiti wa Klabu ya Yanga, Yusuf Manji, leo anapandishwa mahakamani akituhumiwa kutumia dawa za kulevya.
Kamanda wa Polisi mkoa wa Dar es Salaam, Simon Sirro amedai kuwa
vipimo vya mkemia mkuu vimeonesha kuwa mfanyabiashara huyo ni mtumiaji
wa dawa hizo. Awali Manji alikuwa amelazwa kwenye hospitali ya Muhimbili
baada ya kupata matatizo ya moyo.

Download Video and Put Comment
Toa Maoni Hapa Chini
0 comments:
POST A COMMENT