
Uchunguzi wa ITV umebaini baadhi ya wavuvi wa samaki katika Ziwa Victoria wamebadilisha matumizi ya dawa za kulevya aina ya bangi kwa kuipika kwenye mboga ya samaki ambapo mmoja wa wazee wanaoishi kando kando ya Ziwa Victoria ameeleza kuwa kumekuwa na tabia hiyo ambayo ni hatarishi.
baadhi ya wazee wa wilaya ya Chato mkoani Geita wameipongeza serikali kwa kudhibiti usambazaji na utumiaji wa dawa za kulevya hapa nchini ambao umeathiri nguvu kazi ya taifa.
Download Video and Put Comment
Toa Maoni Hapa Chini
0 comments:
POST A COMMENT