Usipunjwe Tena Nyama Buchani..!!! | Bepari Classic
Breaking News
Loading...

Alhamisi, 2 Februari 2017

Usipunjwe Tena Nyama Buchani..!!!

Ukienda kununua nyama buchani utaona kuna kajiwe kadogo karobo ambako mudawote kapo kwenye mizani.
Kajiwe hako kanawekwa makusudi ili kukufanya usijue kama mizani imeelemea katika upande inapowekwa nyama.
Mwambie akatoe kabla hajaweka nyama kwenye mzani iliuone kama mzani upolevo.
Ukituliatuu ujue umepunjwa nusu ya robo, kwasababu baadhi ya wauzaji wanatabia ya kuchezea mizani.
Njia ya Pili
Ule upande wa sahai huwa wameweka kitu (mfano sumaku ambayo imenasishwa upande wa chini)
Hilo jambo huwa wanalificha kwa kuweka jiwe la kilo kadhaa upande wa pili wa mzani..!
Sasa wakati anakuuzia nyama au hata bidhaa nyingine kama sukari au mchele, anaweka kabisa hiyo bidhaa kabla ya kuondoa yale mawe uliyoyakuta, akishaweka hiyo bidhaa yako (kwa makadirio) hapo ndio utaona anatoa yale mawe uliyoyakuta kisha anaweka jiwe lenye kilo unazohitaji wewe (mfano kama unataka mchele wa kilo 1 basi hapo ndipo ataweka jiwe la kilo 1), halafu ataanza kubalance kwa kupunguza huo mchele au kuongezea hadi mzani ubalance.
Tafsiri
Hapo maana yake ni kwamba lile jiwe la kilo moja limebalance na uzito wa mchele wako + sumaku aliyoinasisha chini ya sahani.
Let say sumaku ilikuwa ni robo kilo, basi mchele wako ni robo tatu ya kilo.
Hapo atachukua mchele wako atakuwekea kwenye package, utaondoka na robo tatu zako ila ile robo (sumaku yake) utamuachia muuza duka
Download Video and Put Comment
Toa Maoni Hapa Chini

google+

linkedin

0 comments:

POST A COMMENT