Waziri wa viwanda na biashara baada ya kudanganya jana kuwa hawana tatizo lolote na Dangote kufuatia kusimamishwa kwa uzalishaji wa saruji leo amegeuka na kukiri walikuwa wanaficha.Amedai kuwa Dangote anataka apewe gesi ya bure lakini hawatatoa kwa kuwa hiyo itakuwa ni upendeleo na makampuni mengine hayatachezewa fair.
Amesa makampuni yote yanapaswa kutumia makaa ya mawe hapa nchini ili kuwe na usawa kwa kila mtu kwa kuwa soko moja
Ikumbukwe:
Jana mwijage aliongea kwa confidence kabisa kuwa hakuna tatizo na akalaani tabia ya watanzania kuzusha mambo ili kuogopesha wengine
Download Video and Put Comment
Toa Maoni Hapa Chini
0 comments:
POST A COMMENT