Orodha kamili ya Makatibu Tawala wa Wilaya 27 walioteuliwa pamoja na vituo vyao vya kazi ni kama ifuatavyo
KITUO CHA KAZI
|
JINA
|
---|---|
ARUSHA
| |
Arumeru
|
Timotheo Mzava
|
GEITA
| |
Nyang’hwale
|
Fabian Yinza Sospeter
|
KAGERA
| |
Karagwe
|
Innocent Nsena
|
Missenyi
|
Abdallah R.Mayomba
|
Kyerwa
|
Greyson Mwengu
|
Biharamulo
|
Agness Rwakayonza Alex
|
LINDI
| |
Liwale
|
Mbwana R. Kambagwa
|
Kilwa
|
Agenellus Samwel Mwakitalu
|
MANYARA
| |
Hanang
|
Sarah Erasto Sanga
|
Mbulu
|
Paul Tlatlaa Bura
|
MOROGORO
| |
Kilosa
|
Yohana M. Kasitila
|
Kilombero
|
Robert Francis Selasela
|
Malinyi
|
Lameck Michael Lusesa
|
MTWARA
| |
Nanyumbu
|
Palango Salum Abdul
|
MWANZA
| |
Misungwi
|
Bosco James Bugali
|
Magu
|
Menruf Fortunatus Nyoni
|
Ilemela
|
Said R.Kitinga
|
NJOMBE
| |
Makete
|
Grace Huruma Mgeni
|
Ludewa
|
Zaina Mfaume Mlawa
|
PWANI
| |
Kibiti
|
Milongo R.Sanga
|
RUKWA
| |
Kalambo
|
Frank Mastara Sichalwe
|
SIMIYU
| |
Meatu
|
Nicodemas Tambo Mwikozi
|
Itilima
|
Filbert Kasian Kanyilizu
|
Busega
|
Godwin Chacha
|
SINGIDA
| |
Ikungi
|
Winfrida Emmanuel Funto
|
Mkalama
|
Elizabeth Rwegasira
|
TABORA
| |
Kaliua
|
Michael Simon Nyahenga
|
Ma-Katibu Tawala wa Wilaya hawa wametakiwa wafike kwa Katibu Mkuu wa
Ofisi ya Rais (Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora) wakiwa
na CV zao pamoja na nakala za vyeti vyao vya kielimu.
Download Video and Put Comment
Toa Maoni Hapa Chini
0 comments:
POST A COMMENT