Msanii Belle 9 amekuja juu baada ya kuambiwa ameiga kuweka vionjo vya salome kwenye nyimbo yake
msanii huyo amesema wazo la ku sample wimbo huo alikuwa nalo kabla ya Diamond ajabu Diamond akatoa wimbo kabla yake Download Video and Put Comment
Toa Maoni Hapa Chini
0 comments:
POST A COMMENT