MWANAMUZIKI anayetamba kwa sasa barani Afrika Wizkid hataonekana
jukwaani kutokana na matatizi ya kiafya. Akiiandika katika ukurasa wake
wa tweeter amewaomba radhi mashabiki wake kwakuwa hali yake kiafya si
nzuri na ameshauriwa na daktari kutofanya maonesha hadi mwakani.
Kuzorota kwa afya yake kunatona na kufanya maonesho mengi kwa muda wa
miaka miwili mfulilizo bila kupumzika. Tumuombee afya yake iwe njema
azidi kutupa burudani.
Vile vile amesema hata kama afya yake hairuhusu ni lazima aachie ngoma
mpya ya kufungia mwaka ili mashabiki wake waendelee kupata burudani hadi
atakapo rudi jukwaani tena.
Download Video and Put Comment
Toa Maoni Hapa Chini
0 comments:
POST A COMMENT