Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es salaam Prof.Lipumba amesema zipo taratibu za uandaji wa mikutano kwa mujibu wa katiba ya chama ikiwemo kutumia viongozi wa wilaya kuandaa mikutano hiyo badala ya kutumia watu walio nje ya wilaya au eneo husika jambo ambalo likwamisha ufanyikaji wa mikutano hiyo.
Aidha amemtaka Maalim Seif kuacha malumbano na kurejea kwenye chama ili kundelea kukijenga chama.
Akizungumzia hali ya uchumi katika chama hicho Prof.Lipumba amekiri kukumbwa ukata kutokana na kuzuiwa kwa ruzuku kutoka kwa msajili wa vyama vya hadi pale msuguano huo utakapomalizika.
Download Video and Put Comment
Toa Maoni Hapa Chini
0 comments:
POST A COMMENT