Kiongozi wa Kanisa Katoliki Duniani Papa Francis amewateua makadinali
wapya wa kanisa katoliki kote duniani, kutoka katika mabara matano
akiwemo mjumbe wa Vatican nchini Syria.
Papa Francis amechagua theluthi moja ya makadinali ambao watamchagua
mrithi wake wakati Makadinali walio chini ya miaka 80 pekee ndiyo ambao
wanaweza kumchagua Papa mpya ambapo makadinali 13 kati ya wale
walioteuliwa wako chini ya miaka 80.
Hii ni mara ya tatu katika kipindi cha miaka mitatu ambapo Papa Francis,
ambaye ni Papa wa kwanza kutoka Amerika ya Kusini kuwateua makadinali
wapya ,Makadinali hao wapya wanatoka nchini Jamhuri ya Afrika ya Kati ,
Bangladesh, Papua New Guinea na Mauriotius.
Download Video and Put Comment
Toa Maoni Hapa Chini
0 comments:
POST A COMMENT