Kama huwa unasumbuliwa na kichomi soma hapa | Bepari Classic
Breaking News
Loading...

Jumanne, 22 Novemba 2016

Kama huwa unasumbuliwa na kichomi soma hapa

http://www.wsph2013.com/wp-content/uploads/2016/01/Struggling-with-Vaginal-Candida.jpg
Kama ilivyo kawaida yetu sisi wanafamilia kukutana hapa kwenye mtandao wetu kila siku kupeana elimu muhimu sana katikamasuala mbali mbali, leo nimeamua kushea na wewe mada hii kuhusu kichomi maana limekuwa tatizo linalosumbua watu wengi vijana kwa wazee. Karibu ndugu yangu wa damu tujumuike na tujifunze pamoja.

 VIJANA wengi leo wanapatwa na maradhi ambayo zamani yalikuwa ya wazee au watu wa makamo. Maradhi haya ni kama kisukari na mstuko wa moyo.
Kichomi ni moja ya dalili za ugonjwa moyo. Kupatwa kichomi mara moja moja si vibaya. Ukipatwa muda mrefu au kila wakti ; basi …chunguza zaidi.
Kichomi husababishwa au kinaweza kuwa.
Dalili ya matatizo ya tumbo lenye asidi (acid) kuzidi
Dalili za ugonjwa wa moyo uitwao IschemicDalili za minyooJambo la kuangalia ni je?Unashikwa kichomi ukiwa unatembea?Umeinama au umelalaUkishakula chakula
Kama unapatwa kichomi wakati ukitembea au ukishafanya mazoezi makali ina maana kuna tatizo la damu kuingia sawasawa au kuzunguka (circulation) katika moyo.

 
Kama unapatwa kichomi baada ya kula ina maana kuna tatizo katika chakula unachokula. Je mlo wako una acid(uchachu) sana? Je, unakula vyakula vyenye pilipili na binzari(spices) kwa wingi sana? Kama una kula sana vyakula vyenye asidi ina maana tumbo lako halimeng’enyui sawasawa linachoka.
Kawaida binadamu unabidi kubadili badili ulaji. Usirudie vitu fulani fulani kila siku. Mathalan usiweke pilipili katika kila mlo.
Tatizo jingine ni ulaji wa chakula chenye chumvi nyingi sana. Chumvi inakorofisha pia mzunguko wa damu mwilini.hasa kama hunywi maji.

Ukijenga utamaduni wa kutembelea mtandao huu kila siku muda si mrefu unakuwa tajiri wa mali, maarifa na afya. Kazi kwako!

Download Video and Put Comment
Toa Maoni Hapa Chini

google+

linkedin

0 comments:

POST A COMMENT