Nyama
za puani ni nyama laini zilizoota na kuning'inia kwenye njia ya hewa
na mianzi ya pua ambazo husababiswa na uvimbe wa muda mrefu kwenye mfumo
wa upumuaji, pumu, maambukizi ya mara kwa mara, aleji na magonjwa
mengine ya njia ya hewa.
Nyama zikiwa ndogo huwa hakuna dalili wala ishara zozote zinazoingilia mfumo wa upumuaji ila zinapokuwa kubwa uzuia hewa kuingia na kuharibu mfumo wa upumuaji sambamba na kushindwa kunusa, maumivu ya uso, maumivu ya meno ya juu, mafua, kukoroma, macho kuwasha na maambukizi ya mara kwa mara katika njia ya hewa.
MATIBABU YAKE
Matibabu ya tatizo ili huwa ni pamoja na dawa, kubadili mfumo wa maisha na upasuaji kulingana na ukubwa au visababishi vya tatizo.
Dawa kama nasonex, cetirizine, antibiotiks huweza kutumika kwa nyia ya kunyunyuzia kwenye pua, vidonge au sindando ili kupuguza na kuzuia ukuaji wa nyama hizi huku zikisafisha mfumo wa upumuaji.

Upasuaji
ufanyika endapo dawa zimeshindwa kuondoa tatizo ili na huwa ni upasuaji
wa kutumia hadubini ya ndani kumuongoza daktari kuona kwenye njia ya
hewa na miazi ya pua. Baada ya kufanya upasuaji utaweza kutumia dawa
zilizotajwa juu hapo ili kuzuia kutokea tena kwa tatizo.
Download Video and Put Comment
Toa Maoni Hapa Chini
0 comments:
POST A COMMENT