Kocha wa zamani wa Manchester United, Alex Ferguson na yule wa zamani wa timu ya taifa ya England, Sven Goran Eriksson wanaelezwa kuwa kwenye listi ya watu 780 iliyotolewa na Bwana Kodi.
Kwamba imepitiwa zaidi ya makampuni 39 ya wawekezaji yalihusika na ukwepaji huo wa kodi ndani ya England na Ferguson anakuwa mwekezaji kutoka Scotland, Eriksson ni raia wa Sweden.
Inaelezwa ukwepaji huo wa kodi umefikia hadi pauni billion 2.2 na inawezekana waka catalpa hadi mara 10 ya kile walichotakiwa kulipa mwanzo, hali inayoonyesha wako katika hatari ya kufilisika.
Tayari kuna ambao zoezi hilo limeanza kuwakumba na wako ambao tayari wako matumbo joto.
Serikali za nchi za Ulaya, huwa hazitaki mchezo kuhusiana na suala la kodi na hasa kwa wale wakwepaji.
Download Video and Put Comment
Toa Maoni Hapa Chini
0 comments:
POST A COMMENT