Katika ziara itakayomoeleka Donald Trump katika mataifa kadhaa matano
kuanzia Saud Arabia mpaka Brussels, Jerusalem ikiwamo imeonekana
kupokelewa kwa mtazamo tofauti ukilinganisha na msimamo wake juuya
uislamu na namna Saud Arabia ilivyompa heshima ya hali ya juu hasa wengi
wakiilinganisha na ziara ya Obama aliyoifanya mara ya mwisho akiwa
madarakani.
Mambo yaliyoteka mijadala mitandaoni ni pamoja na
Heshima Trump anayoonekana kuipata kutoka kwa taifa la Saud Arabia kuanzia kwenye mapokezi ambayo Obama hakuwahi kuyapata.
Kitendo cha Trump kumuweka mwanamke kama translater wa mazungumzo yao na
mtazamo wa Arab kuhusu uhusika wa wanawake katika masuala nyeti katika
jamii.
Swala la Melanie Trump kutokuvaa head scarf kama ilivyozoeleka kwa
Hillary Clinton, Condoleezza Rice na Michelle Obama pamoja na staff wao
waliokua wakivaa head scarfs kuenzi utamaduni wa Arab
Msisimko wa mji wa Riadh katika ziara hii ya Donald Trump ambapo
wananchi wa Saudia wameonekana kuvutiwa na kumpokea Mr President kwa
upendo bila kujali misimamo ya Donald Trump kuhusu Uislamu ambayo ndio
dini ya Saudis
Download Video and Put Comment
Toa Maoni Hapa Chini
0 comments:
POST A COMMENT