Dogo Janja azungumzia mahusiano yake na Irene Uwoya | Bepari Classic
Breaking News
Loading...

Jumatatu, 20 Februari 2017

Dogo Janja azungumzia mahusiano yake na Irene Uwoya

Inasemekana walikuwa pamoja usiku wa kuamkia Valentine day mpaka asubuhi ambapo Soudy Brown alipompigia simu Janjaro majibu yake yalikua haya

“Mimi mke wangu anaishi Morogoro, sijawai kutoka kimapenzi na mtu aliyenizidi umri, usiku wakuamkia Valentines nilila nyumbani..mwenyewe nilikuwa na Bro..”

“Soudy unanikosea sana si mama yangu yule? hatuna mahusiano hatuna chochote wala story naye hatuna au soudy unataka uniozeshe”
Download Video and Put Comment
Toa Maoni Hapa Chini

google+

linkedin

0 comments:

POST A COMMENT