Hapo kabla tulisoma kwa kirefu kuhusu vidonda vya tumbo, kisha tukasoma kuhusu dawa mbadala ya vidonda vya tumbo, tukasoma tena kuhusu chakula cha mgonjwa wa vidonda vya tumbo, na leo tunaendelea kuangalia dalili za ugonjwa wa vidonda vya tumbo.
Dalili za ugonjwa wa vidonda vya tumbo
Dalili zitakazokufanya ujihisi una vidonda vya tumbo ni pamoja na;
Kuchoka choka sana bila sababu maalum
Kuuma mgongo au kiuno
Kupungukiwa au kupoteza kabisa nguvu za kijinsiaKizunguzungu
Kukosa usingizi usingizi wa mara kwa mara Maumivu makali sehemu ya mwili
Kifua kwa ndani kana kwamba unachomwa na kitu cha moto au chenye ncha kali.
Maumivu hayo wakati mwingine hutokeza mgongoni na huchoma kama sindano yenye sumu na kuacha maumivu makali
KichefuchefuKiunguliaTumbo kujaa gesiTumbo kuwaka moto
Maumivu makali sehemu kilipo kidondaKukosa choo au kupata choo kwa shida tena kikiwa kigumu na chenye kukatika kama cha mbuziKutapika nyongo
Kutapika damu au kuharishaSehemu za mwili kupata ganziKukosa hamu ya kulaKula kupita kiasiKusahahu sahau naHasira bila sababu.
Kwa kweli ni vigumu kueleza maumivu yote apatayo mgonjwa wa vidonda vya tumbo hasa kwa mwenye vidonda sugu kwani hakuna hata kiungo kimoja mwilini atakachokuambia ni kizima.
SOMA: Angalia jinsi Soda inavyokuua taratibu
Ukijenga utamaduni wa kutembelea mtandao huu kila siku muda si mrefu unakuwa tajiri wa mali, maarifa na afya. Kazi kwako!

Download Video and Put Comment
Toa Maoni Hapa Chini
0 comments:
POST A COMMENT