Watu zaidi ya 50 wafariki katika shambulizi la kujitoa muhanga Nigeria | Bepari Classic
Breaking News
Loading...

Jumamosi, 10 Desemba 2016

Watu zaidi ya 50 wafariki katika shambulizi la kujitoa muhanga Nigeria

Watu zaidi ya 50 waripotiwa kufariki katika shambulizi la kujitoa muhanga  limelotekelezwa nchini Nigeria.

Katika shambulizi hilo watu wengine 30 wameripotiwa kujeruhiwa.

Shambulizi hilo limetekelezwa karibu la soko linalopatikana Madagal.

Taarifa zinatuhumu kundi la wanamgambo wa Boko Haram kuhusika na shambulizi hilo.

Madagal ni eneo ambalo jeshi la Nigeria liliwaondoa wanamgambo wa Boko haram mwaka 2014.

Mwaka 2015 wanamgambo hao walishambulia basi Desemba na kuwauawa watu 30.
Download Video and Put Comment
Toa Maoni Hapa Chini

google+

linkedin

0 comments:

POST A COMMENT