Kauli hiyo imetolewa na Naibu Waziri wa Nishati na Madini, Dakta. MEDARD KALEMANI kwa nyakati tofauti katika Wilaya za Songea na Nyasa.
Amesema mradi wa Makambako-Songea utakuwa suluhisho la matatzo ya umeme kwa mikoa ya Ruvuma na Njombe.
Awali akiwa Wilayani Songea , Mkuu wa wilaya hiyo, POLOLETI KAMANDO MGEMA amemueleza Naibu Waziri kuhusiana na matatizo ya umeme katika wilaya hiyo yanayotokana na uchakavu wa mitambo iliyozinduliwa mwaka 1967 ambapo ameuagiza uongozi wa Shirika la Umeme Tanzania - TANESCO Mkoani Ruvuma kushughulikia tatizo hilo.
Download Video and Put Comment
Toa Maoni Hapa Chini
0 comments:
POST A COMMENT