Mkuu wa Kamandi ya Jeshi la Anga
Brigedia Jenerali Michael Wambura Isamuhyo
Mkuu wa Jeshi la Kujenga Taifa
Rais na Amiri Jeshi Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama Tanzania Mh.
Dkt. John Pombe Joseph Magufuli amewapandisha vyeo Maafisa Wakuu wawili
wa JWTZ kuwa Meja Jenerali kuanzia tarehe 03 Disemba 2016. Maafisa Wakuu
hao ni;
Brigedia Jenerali George William Ingram ambaye ni Mkuu wa Kamandi ya
Jeshi la Anga, na Brigedia Jenerali Michael Wambura Isamuhyo ambaye ni
Mkuu wa Jeshi la Kujenga Taifa.
Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi Jenerali Davis Adolf Mwamunyange kwa niaba ya
Rais na Amiri Jeshi Mkuu anawapongeza na kuwatakia kheri katika vyeo
vyao vipya.
Imetolewa na Kurugenzi ya Habari na
Uhusiano Makao Makuu ya Jeshi, Upanga
S.L.P 9203, Dar es Salaam, Tanzania.
Download Video and Put Comment
Toa Maoni Hapa Chini
0 comments:
POST A COMMENT