Ikiwa
ni takribani mwezi mmoja na siku kadhaa zimebakia kwa Barack Obama
kumaliza kipindi cha cha utawala wa miaka nane akiwa Rais wa Marekani,
tayari imejulikana sehemu atakayokwenda kuishi yeye na familia yake
baada ya kustaafu.
Nimezipata
picha za muonekano wa ndani ya nyumba hiyo inayotajwa kuwa na gharama
ya dola za Marekani milioni 5.3 ambazo ni zaidi ya shilingi za Tanzania
bilioni 11 iliyopo jijini Washington DC.
Pamoja
na ukubwa ulioizidi nyumba ya Rais mteule wa nchi hiyo Donald Trump,
bado haijaifikia gharama zake wala nyumba ya Rais yeyote aliyewahi
kutawala Marekani.
Nyumba ya Obama ilijengwa mwaka 1928, kwenye eneo la ukubwa wa futi 8,200 huku ikiwa na vyumba 9 vya kulala.
Nimekuwekea hapa picha za muonekano wa nyumba hiyo

Download Video and Put Comment
Toa Maoni Hapa Chini
0 comments:
POST A COMMENT