Mitandao kudhibitiwa
Kampuni kubwa za kiteknolojia Duniani zimeanzisha programu mpya
itakayosaidia kupunguza kasi ya uchochezi na misimamo mikali mitandaoni.
Suala hili litahimiza umakini ili kurahisisha utambuzi wa taarifa chochezi zitatokea katika mitandao yao.
Kampuni hizo zimearifu kuwa mchakato huo hauta jiendesha wenyewe ili kuepusha upotoshaji usiotarajiwa kwa waandishi na taarifa nyingine zinazo ashiria vurugu japo kuwa hazi chochei moja kwa moja
Download Video and Put Comment
Toa Maoni Hapa Chini
0 comments:
POST A COMMENT