Mtangazaji huyo wa Choice FM, amedai wakati akiishi na Mama yake
aliweza kuishi kwa kucheza kamari na kupata pesa nyingi ambazo
alizitumia kwa starehe.
“Mimi ndo mtoto ambaye nimekaa na mama muda mrefu na mama nilikuwa namchefua, alikuwa anaona sina faida, anasema baba yako amekukataa bado unaning’ang’ania. Ila mimi nilikuwa naonyesha upendo, sio kama nilikuwa namsumbua nilikuwa nampenda sana, sema nilikuwa natafuta hela,”
“Kiukweli nimecheza kamari nikiwa mdogo sana, kama darasa la tatu la nne hivi, na nilikuwa na bahati sana ya kula, mtu alikuwa yupo radhi anikopeshe hela yake nicheze kwa sababu anajua nitakula, lakini hela zote nilikuwa naenda kumpatia Mama. Kwahiyo nikajikuta maisha yanakuwa marahisi sina mpango wa wanaume lakini hela napata. Lakini ikafika hatua mama akaona tunaenda kuaharibikiwa kwa hiyo akaanza kutukataza, nikapigwa sana kuacha kamari,” aliongeza Gigy Money.
Pia Gigy amedai kazi yake mpya ya utangazaji imeanza kubadili maisha yake pamoja na kumfanya atafute njia mpya za kuingiza pesa kupitia brand yake aliyoitenga kwa miaka mingi.

Download Video and Put Comment
Toa Maoni Hapa Chini
0 comments:
POST A COMMENT