Familia ya Kardashian yamgomea Blac Chyna kutumia jina lao | Bepari Classic
Breaking News
Loading...

Jumatano, 7 Desemba 2016

Familia ya Kardashian yamgomea Blac Chyna kutumia jina lao



Kuzaa na ndugu wa familia ya Kardashian hakumpi nafasi Blac Chyna kuingia kwenye umiliki wa biashara wa familia hiyo.
1206-kardashian-sisters-kim-kourtney-khloe-block-blac-chyna-name-change-tmz-4
Mtandao wa TMZ umeripoti kuwa Kim, Khloe na Kourtney wamekataa ombi la Chyna alilokuwa akitaka kutumia jina la Kardashian kwenye biashara zake. Imedaiwa kuwa sababu ya wadada hao kukataaa ni kuogopa kushuka kwa biashara zao na kumpandisha Blac.
Mwezi Septemba mwaka huu Blac alitangaza kutumia jina la “Angela Renee Kardashian” kwenye biashara zake kwa ajili ya kupata faida.

Jiunge na Bongo5.com sasa

Download Video and Put Comment
Toa Maoni Hapa Chini

google+

linkedin

0 comments:

POST A COMMENT