Akizungumza jijini Dar es salaam Mwenyekiti wa Baraza la wadhamini Hamis Kilomoni amesema baraza hilo limefikia hatua hiyo baada ya kupokea barua za malalamiko kutoka kwa wanachama.
"Kama wadhamini tumepokea barua za wanachama wakilalamikia kutoitwa katika mkutano uliopita. Barua hizo zimepelekwa kwa rais,BMT hivyo tunamuomba mkuu wa mkoa aingilie katika na kusimamisha mkutabo mpaka viongozi wakutane nasi,"amesema
Kilomoni amesema baraza la wadhamini halitambua mkutano huo na kwamba ni batili.
Download Video and Put Comment
Toa Maoni Hapa Chini
0 comments:
POST A COMMENT