ALICHOANDIKA Zari Baada ya Kurudi Nyumbani Akiwa na Mtoto wa Kiume | Bepari Classic
Breaking News
Loading...

Jumanne, 6 Desemba 2016

ALICHOANDIKA Zari Baada ya Kurudi Nyumbani Akiwa na Mtoto wa Kiume


Hatimaye Zari na Diamond wamefanikiwa kupata mtoto wa kiume aliyezaliwa saa 10:35 alfajiri kwa saa za Afrika Mashariki, Jumanne, December 6.
Mtoto huyo amezaliwa kwenye hospitali ya NETCARE ya Pretoria nchini Afrika Kusini.
Diamond na Zari wameonesha furaha kwa ku-share picha za mtoto kwenye mitandao yao ya kijamii...
zarithebosslady: thanking everyone for your prayers, we are all doing fabulously ok
Download Video and Put Comment
Toa Maoni Hapa Chini

google+

linkedin

0 comments:

POST A COMMENT