Diamond Platnumz ni bingwa wa kusababisha povu kwenye mitandao ya
kijamii. Jumanne hii alisababisha tafrani kwenye mtandao wa Instagram
baada ya kupiga stunt kama ya The Game na Kevin Hart, kwa kupost selfie
akiwa amevalia kiboxer cheusi.
Kwenye picha hiyo, Diamond aliandika: Straight from the Changing room!…I
think i need to go back to the gym so that i can be more flexible on m
24th Pre-XMass Parformance in Dar Es Salaam.
Licha ya kufunika kwa emoji kwenye eneo la sehemu zake za siri, selfie
hiyo imesababisha hisia tofauti huku wengi wakimponda staa huyo kwa
kukosa staha.
Hizi ni baadhi ya comments:
isaac_siame: @diamondplatnumz sitaki kuamini kama mawaziri kama nape au
makamba watatamani kuja tena wcb kuonana namsanii wa namna hii, hii
itakucost au imekucost tayari @babutale busara zako azijatumika kushauri
hii naanza kuona misingi ya heshima ulioitunza kwa mda mrefu ikipotea
tausizehemasaleh: You ‘ve a beautiful soul but I think sometimes you go
over board,remember to much is given .much is expected,I respect the
path Mom Tee is taking,don’t neglect her advices,you may need them
sometimes,Big love small bro
yahyakiwera8646: Nduguyangu nakuusia usidanganyike nahizi like nacomment
kumbuka weweni muislamu nautazikwa kiislamu kuogope mungu kwanza
niharamuvhizo tatoo ukiswali swalazako haziswihii ukiogajanaba halitoki
nduguyangu unapotea HAWA wanao like wote kaburini hatakuwepo utakua
pekeyako namatendoyako iwemazuri au mabaya je utaponaa? Ilahuu WANGU
niukumbushotu kwako nikutakie mabadiliko usijekusema hukuambiwa buree
miminisha kuambia
swaum1140: Mmmm jaman mm hapo hapan nasibu sio nzuri hyo pic kwa kweli
kumbuka wew ni baba now sio pich nzur kumbuka IPO cku tifa ataiona alaf
itakua aibu kubwa uxifany hvy bhana hapo mm sijapenda kabisaaa
ommie_latino26: Bro huo ni ujinga una familia sasa ina maana hapo tiffah aje aone dudu ya baba au
its_mancrowdtz: Endeleeni kukaa uchi kusuka kuchora tattoo na upuuzi
mwngne..kibaya zaidi watu wanawafuata nyinyi km ma role model kwahy
dhambi atakayofny kwa kuwaiga nyie mnaandikiwa na nyinyi…mtu anaefanya
uovu hadharani ana hasara kubwa kuliko yule anaefny kwa
kujificha@officialalikiba@diamondplatnumz😭😭Allah awaongoze kwakweli
nelyhassan: Huyu ni shetani hata muziki siku hizi hana pole kaka umebadilika sana sio diamond yule wa kitambo duh huruma jamani
Download Video and Put Comment
Toa Maoni Hapa Chini
0 comments:
POST A COMMENT