Wakizungumza kwa masikitiko makubwa, baadhi ya madereva wamesema tatizo
limekuwa kubwa baada ya kuanzishwa kwa faini za papo kwa papo mwezi
mmoja uliopita na kwamba adhabu hizo hutozwa hata katika barabara ambazo
hazina alama zinazoelekeza kiwango cha mwendokasi.
Baadhi ya barabara ambazo askari wa usalama barabarani hudaiwa kuchukua
rushwa ni pamoja na ile ya Nairobi – Thika ambapo imedaiwa kuwa
wanausalama hao hujificha porini wakirekodi mwendokasi wa magari na
kisha kuwafuata madereva na kuomba rushwa.
Download Video and Put Comment
Toa Maoni Hapa Chini
0 comments:
POST A COMMENT