Msanii wa muziki Ben Pol amekanusha taarifa ambazo zinazagaa kwenye
mitandao ya kijamii kwamba alilipwa tsh milioni 3 na uongozi wa Timamu
TV ili afanye kiki na mchekeshaji, Ebitoke. Muimbaji huyo amedai kila
kitu ambacho kimetokea kwenye maisha yake akiwa na Ebitoke hakuna
lichotengezwa huku akidai yote yalikuwa ni maisha yake halisi.
Download Video and Put Comment
Toa Maoni Hapa Chini
0 comments:
POST A COMMENT