Muhimbili kuanza kufanya uchunguzi wa virusi vya homa ya Ini | Bepari Classic
Breaking News
Loading...

Jumatatu, 28 Novemba 2016

Muhimbili kuanza kufanya uchunguzi wa virusi vya homa ya Ini

Hospitali ya Taifa Muhimbili inatarajia kuanza kufanya uchunguzi wa virusi vya homa ya ini (hepatitis B) na kutoa tiba kwa kutumia dawa ya Tenofovir.

Daktari Bingwa wa Magonjwa ya Ini na Matumbo, John Rwegasha amesema hayo hii leo alipozungumza na waandishi wa habari kwa niaba ya Mkurugenzi Mtendaji wa Muhimbili.

Amesema ugonjwa wa homa ya ini ni hatari na kwamba
Download Video and Put Comment
Toa Maoni Hapa Chini

google+

linkedin

0 comments:

POST A COMMENT